AMINI USHINDI WA AHADI YA MUNGU | World Challenge

AMINI USHINDI WA AHADI YA MUNGU

David Wilkerson (1931-2011)June 7, 2019

Mungu ameamua kukamilisha malengo yake hapa duniani kupitia watu tu. Mojawapo ya maandiko yenye kuhimiza zaidi katika Biblia yako katika 2 Wakorintho 4:7: "Lakini tunahazina hii katika vyombo vya udongo, ili adhama kuu ya uwezo iwe ya Mungu, wala si kutoka kwa kwetu." Tena Paulo anaendelea kuelezea hivyo vyombo kutoka kwa udongo - watu waliokufa, vulugu kila upande, wasiwasi, kuteswa, kutengwa.

Mungu hawatumii waliye juu na wenye nguvu lakini, badala yake, anatumia mambo dhaifu ya dunia hii ili kuharibu wenye hekima. "Maana, ndugu zangu, angalieni mwito wenu, ya kwamba si wengi wenye hekima kulingana ya mwili, si wengi wenye nguvu, wala wengi wenye cheo nzuri walioitwa. Bali Mungu aliachagua mambo mapumbavu ya ulimwengu ili aibishe wenye hekima; tena Mungu amechagua vitu dhaifu vya ulimwengu ili aviabishe vitu vyenye nguvu ngu ... mwenye mwili yeyote asije akajisifu mbele zake" (1 Wakorintho 1:26-29).

Udhaifu ambao Mungu anaongea juu yake, ni ubunadamu wetu wa kukosa kutii amri zake kwa nguvu zetu wenyewe. Neno hurekodi orodha ndefu ya wanaume waliompenda Mungu na walitumiwa sana na yeye, lakini walikuwa karibu kuelekea kuhanguka chini kwa ajili ya udhaifu wao:

  • Isaya, shujaa mkuu wa maombi, alikuwa mtu kama sisi wengine, kuwa dhaifu na kuumizwa.
  • Daudi, mtu ambaye alikuwa cha roho yenyewe ya Mungu, alikuwa mzinzi aliyeuawa ambaye hakuwa na maadili ya baraka zozote za Mungu.
  • Petro alimkana Bwana Mungu wa mbinguni - akimlaani Yeye aliyempenda sana.
  • Abrahamu, baba wa mataifa, alisema uongo, akitumia mkewe kama kipaombele ili kuokoa muili wake mwenyewe.
  • Yusufu aliwatania ndugu zake waliopotea furaha changa - mpaka karibu kumruhusu.

Je! Umeshindwa? Acha moyo wako ukubali ahadi zote za ushindi katika Yesu. Kisha acha imani yako iambie roho yako, "Bado siwezi kuwa kile ninachotaka kuwa, lakini Mungu anafanya kazi ndani yangu nami nitakuja kama dhahabu safi. Ninaweka kila kitu kwa yule anayeweza kunizuia kuanguka na kunitambulisha kamwe mwenye kutokuwa na hatia mbele ya kiti cha enzi cha Mungu - kwa furaha kubwa sana inaopita kipimo! "

Download PDF