TUZO YENYE THAMANI YAKE YOTE | World Challenge

TUZO YENYE THAMANI YAKE YOTE

David Wilkerson (1931-2011)July 16, 2019

"Hebu tukimbie kwa uvumilivu katika yale mashindano yaliyowekwa mbele yetu" (Waebrania 12:1). Neno nzuri linapendekeza mashindano. Watu wa Mungu wanafananishwa na wakimbiaji katika mbio ya ndefu, wakipiginia tuzo - tuzo ni ufunuo wa utukufu wa ujuzi wa Yesu Kristo.

Tunaharibu mbio kwa kuelekea milele wakati watu wa Mungu wanashindana wao kwa wao kwa ajili ya mafanikio, utajili na sifa. Kristo huwa chochote zaidi kuliko mdhamini, kwa kuwa wakimbiaji wote wanasema kuwa wanashindana kwa jina lake.

"Kwa ajili ya uzuri usio na kiasi wa kumujuwa Kristo Yesu, Bwana wangu; ambaye kwa ajili yake nimepoteza vitu vyote kwa ajili yake, na kuyahesabu kama takataka, ili nipate Kristo" (Wafilipi 3:8) . Kuliwahi kuwa na wakati ambapo mbio haikuwa  nyepesi au yenye mefanikio, bali, kwa unyenyekevu na udhaifu. Mbio hii ilikutana na mateso, ushindi, ugumu na kuuawa. Kwa nini wakimbiaji hawa walipitia hofu na mateso hayo kuliko kujiondowa? Kwa sababu, kwao, tuzo hiyo ilikuwa yenye thamani yake yote. Hawakutaka chochote,  ila Kristo!

Ikiwa imani inapata tunzo pamoja na kitu chochote kilichopunguzwa na tuzo ya wito mkubwa katika Kristo Yesu, haifai kupigana. Mshindi wa mbio hii ni mtoto wa Mungu ambaye hataki kupata chochote, isipokuwa Yesu tu, kwa kukemeya mambo ya dunia chini ya miguu msalabani kama takataka isiyofaa.

Mkristo ambaye anajitoa ndani ya mashindano kwa ajili ya vitu vya kidunia na kushangilia yatagundua kinacho manisha kwa kuwa kinaoyijaza. Katika historia yote, wale tu ambao wamejifunza kukataa ulimwengu na yote yaliyo ndani yake wamegundua furaha ya kweli. Mtu mmoja huyo alisema, "Sikuwahi kujua maanayake nini kuwa na furaha, mpaka nilipoachana kujitahidi kuwa mbabe."

Uliza Bwana leo kwa ajili yakuagalia mawazo yako ili uweze kushinda tuzo yenye thamani ambao inayokubali Yesu Kristo.

Download PDF