AHADI YA UKWELI

David Wilkerson (1931-2011)

Tunapomngojea imani ili atende, tunatakiwa tumaini kwamba anaisikia kilio cha moyo wetu: "Ndugu zangu, watweni manaabi walionena kwa jina la Bwana ... kwamba Bwana ni mwingi wa rehema na mwenye huruma” (Yakobo 5:10-11). Mungu huendana sana na machozi yetu na kuomboleza kwetu. Anasikia kilio chetu.

Yesu ametupa ahadi ya ukweli kwa siku hizi za mwisho.

Kristo alituachia ahadi ya utukufu kutuona kupitia siku za giza ambazo dunia inakabiliwa sasa hivi. Anasema kwa wote wanaochukua msalaba wao na kumfuata: "Kwa kuwa umelishika neon la subira yangu, mimi name nitakulinda,utoke katika saa ya kuhalibiwa iliyo tayari kuujilia ulimwengu wote,kuwajaribu wakaao juu ya nchi" (Ufunuo 3:10).

Yesu anasema, kwa kuaelewesha ukweli, "Wewe ulibaki nda ya ukweli wakati ulijaribiwa na ulimwengu. Wewe ulingojeya mimi kwa furaha ili nilekebishe mambo Sasa, wakati kuna kutoelewana kumezonga pote na ulimwengu wote uko unajaribiwa, nitakulinda kutoka hayo. Tayari ulisha sibithisha kwamba unaniamini we wote, njoo iwezekanavyo!”

Mashahidi wa kuangaza kwa ajili ya Kristo katika siku hizi za mwisho wanaenda kuwa watu wanyenyekevu ambao wamethibitisha kama yeye nimwaminifu. Sio tu wanatangaza, "Mungu ana kila kitu chini ya udhibiti," lakini kwa kweli wamruhusu awe na udhibiti wa maisha yao. Na kila mtu aliyewazunguka ameona! Uzuri wa ushuhuda wao utawavuta wengi kwa Bwana. Na ushuhuda wao ni huu: "Hatataogopa habari mbaya; Moyo wake u imara, ukimtumaini Bwana" (Zaburi 112:7). Amina!