Ameyapaka Macho Yao Ndiposa Wasiweze Kuona
“Wote wachongao sanamu ni ubatili, vitu wanavyovithamini havifai kitu. Wale ambao wangesema juu yao ni vipofu, ni wajinga, ili wao waaibike. Ni nani atengenezaye mungu na kusubu sanamu, ambayo haiwezi kumfaidia kitu cho chote? Yeye pamoja na wenziwe wa aina yake wataaibishwa, mafundi wao si kitu ila