KUWA NA NJAA YA NENO LA MUNGU
“Furaha ya Bwana ni nguvu zenu” (Nehemia 8:10). Wakati maneno haya aritangazwa, wana wa Israeli muda huo walirudia nyumbani kutoka utumwani Misri. Chin ya uwongozi wa Ezra na Nehemia, watu walijenga tena Yerusalemu kuta zirikuwa zimebomolea. Sasa wameelekeza macho yawo kwa kukarabati Hekalu na kurejesha inchi kama irivyokuwa..
Nehemia aliitisha mukutano usiyo wakawayida wa muji mahali pako Lango la Maji ndani ya Yerusalemu sehemu za kuta zimekalabatiwa ( wona Nehemia 8:1). Kitu cha kwanza kilichotokea ilikuwa ni kuhubili Neno la Mungu. Njaa ya Neno iliongezeka kati ya watu, hivyo hawakua na haja yakuahimiza kusikiliza. Tena walikuwa wameandiliwa vyakutosha kuwasilisha kwa mamlaka ya Neno, na kutaka kuwongozwa nalo ukilinganisha na ukweli wake.
Kinachoshanganza, Ezira alihubili umati wa watu kama muda wa saa tanu awo sita. Ni tukio la ajabu. Naamini ingekuwa ngumu kuwa na tukio hilo katika kanisa la kisasa. Marejesho kamili hayawezi kupatikana pasipokua ya jinsi hii ya wale wote wenye njaa ya Neno la Mungu.
Kutofanya makosa, kwenye Lango la Maji mujini Yerusalem hakukuepo mafasaha ya mahubili. Ezra hakutowa wujumbe unasisimua. Badala, alihubili moja kwa moja kutoka kwa Maandiko, kusoma masahaa mengi mpaka mwisho na kuelezea maana. Nakadri watu walivyokuwa wakisikiliza na kushangiliya.
Muda mwingi Ezra alishinda saana na mambo alikwa anasoma na kuishiya kwa “[kubariki] Bwana, Mungu mukubwa” (8:6). Utukufu wa Bwana ukashuka na nguvu nyingi na watu wote waliinua mikono yawo wakishangilia . Ndani ya toba na kuvunjika, “wali inamisha vichwa vyao na wali muabudu Bwana na nyuso zawo zikigusa cini” (8:6). Kisha walisimama kwauzoefu mwingi saana.
Ku kuwa udanganyifu kutoka mazabahu, bira ushahidi mkubwa. Tena hakukuepo nyimbo. Hawa watu walikuwa na masikio tu yakusikia kila kitu Mungu alikua anaambia.
Wapendwa, naamini kwa Bwana anania yakutembeya katikati ya watu wake kama ilivyo leo . Kama tunaenda kuona hii aina ya uamsho na marejesho nilazima tue na njaa pamoja na furaha ya maandishi kama alivyo fanya Ezra!