USHAHIDI KWA UPENDO WA YESU

Gary Wilkerson

Wakati Bwana alikuja duniani kukaa kati yetu, alikuwa na madhumuni maalum, ambayo iliumbwa kabla ya misingi ya ulimwengu. Alikuja na ujumbe wa kutufundisha juu ya Baba, kufanya kazi kubwa ya kutuokoa kuoka kwa dhambi, na kutuokoa huru kutoka utumwa wote.

Aina hiyo ya Mwokozi ingekuwa ya kawaida yakuelekeza tahadhari ya mamlaka ya utawala wa dunia, lakini licha ya vikwazo vyote vya mauti ambavyo vililushwa kwake kutoka kwa mwanadamu na Shetani, Yesu aliweza kukamilisha lengo lake.

Tunaishi katika ulimwengu usio tofauti na ule Yesu aliingia miaka elufu mbili iliyopita. Kwa mujibu wa vyanzo vya habari leo, watu wengi Marekani wanasumbuliwa na wazo la Mwokozi kama Yesu. Katika miaka ya hivi karibuni, wasimamizi wa shule, vyombo vya habari vya kitaifa na hata maafisa wa serikali walitowa maoni yenye nguvu - na kwa ubaya - kwa umma ulitaja jina la Kristo. Hii haipaswi kushangaza sisi, kama Yesu alitabiri kwamba wakati siku ya kurudi kwake inakaribia, "upendo wa wengi utapoa" (Mathayo 24:12).

Si muda mrefu uliopita hospitali ya watoto wa Kikristo waliwasilisha biashara kwenye mtandao wa michezo ya TV ambayo ilikataa kupitisha tangazo isipokuwa neno "Yesu" lingeondolewa. Pia, dada wa familia aliyotajwa kwenye nasaba maarufu ya TV ya maonesho ya Duck  Dynasty imesibitisha kwamba Biblia haikubali ushoga na iliitwa kama kitu kisio kubali, yenye chuki kwa watu furani na yenye kuzagaza chuki. Kwa wazi, haya ni mateso madogo ikilinganishwa na yale yaliyotesa na Wakristo katika mataifa ambapo Ukristo hupigwa marufuku. Katika ziara yangu kwa mataifa zaidi ya sitini, nimeona shida za kila siku ambazo waumini wanapitia kwa huvumilia. Hata hivyo naweza kuwahakikishia kuwa hivi karibuni mambo yatakuwa mabaya kwa kanisa la Marekani. Mateso yatakua mbaya zaidi kwa sababu injili inaendelea kuwashawishi wale wanaotembea gizani.

Tunaweza kutawala mioyo yetu kwa upendo wa Yesu Kristo ili tuweze kushuhudia upendo wake na kuona malengo yake yametimia katikati ya kizazi hiki kibaya.