JE! UMESAHAU NGUVU YA MUNGU YA KUKOMBOA?
Wakati mmoja mwanamke aliyeitwa Celeste Horvath alikuwa bibi mashuhuri zaidi wa New York, akiendesha pete ya ukahaba ambayo iliwapatia watu wengine maarufu wa taifa hilo. Celeste alikuwa amekulia katika nyumba ya Kipentekoste, na nyanya au bibi yake aliyekuwa akisali alikuwa ametabiri juu yake, "Utakuwa mwinjilisti."