UHAKIKA WA UAMINIFU WA MUNGU
Yesu aliposimama kwenye kilele cha hekalu, Shetani alimnong'oneza, "Endelea. Ruka! Ikiwa kweli wewe ni mwana wa Mungu, atakuokoa."
"[Ibilisi] akamwambia, Ikiwa wewe ni Mwana wa Mungu, jitupe chini; kwa maana imeandikwa, Atakuagizia malaika zake juu yako, Na mikononi mwao watakuchukua, usije usije ukajikwaa mguu wako katika jiwe." (Mathayo 4:6).