USHIRIKA MZURI NA YESU

David Wilkerson (1931-2011)

Wakristo wengi huomba kwa maana ya wajibu; wengine huomba tu wakati mafa akipiga au akiwafikia. Lakini tunahitaji kufahamu kweli wa msingi kwamba sala siyo tu kwa ajili ya ustawi wetu au uhuru wetu bali kwa furaha ya Bwana.

JIFANANISHE NA KRISTO PEKEE

David Wilkerson (1931-2011)

Moyo wa ujumbe wa kweli wa neema sio injili ya vibali lakini moja ambayo hufundisha utakatifu!

"Kwa maana neema ya Mungu iwaokayo wanadamu wote imefunuliwa; nayo yatufundisha kukataa ubaya na tamaa za kidunia; tupate kuishi kwa kiasi, na haki, na utauwa katika ulimwengu huu wa sasa; tukilitazamia tumaini lenye baraka na mafunuo ya utukufu wa Kristo Yesu, Mungu mkuu na Mwokozi wetu." (Tito 2:11-13).

KUKUBALIWA NA BABA

David Wilkerson (1931-2011)

"Yeye asiyejua dhambi alimfanya kuwa dhambi kwa ajili yetu, ili sisi tupate kuwa haki ya Mungu"  (2 Wakorintho 5:21).

Ninaamini kuwa haki kwa imani ni ukweli wa msingi wa Ukristo. Huwezi kujua mapumziko ya kweli na amani hadi ufikiri kwamba huwezi kamwe kuwa sahihi machoni pa Mungu kwa kazi zako mwenyewe.

KUTEMBEA KATIKA AHADI ZA MUNGU

Gary Wilkerson

Wakati Yoshua alipopewa ma muraka ya kuwa kiongozi wa taifa la Waisraeli, Mungu alisema kwa maneno mazito kuhusu yeye . "Je! Si mimi niriye kuamuru? Uwe hodari na moyo wa ushujaa; usiogope wala usifadhaike; kwa kuwa Bwana, Mungu wako, yu pamoja nawe kila uendapo" (Yoshua 1:9).

MUNGU HUJA KUPITIA KATIKATI YA MACHAFUKO

David Wilkerson (1931-2011)

Daudi alikuwa mtu mwenye imani kubwa ambaye aliekua kiumungu, mwenye hekima, mufalme mpendwa. "Naye Daudi akafanikiwa katika kazi zake zote, kwa kuwa Bwana alikuwa pamoja naye" (1 Samweli 18:14, ESV). Alikuwa mtu wa sala nyingi, akimsifu Bwana, kama watu wachache waliowahi kufanya, na kubariki moyo wa Mungu kwa nyimbo zake. Hakuna mtu aliyeweza kuwa karibu sana na Bwana kuliko Daudi.

MTU WA IMANI

David Wilkerson (1931-2011)

Abrahamu anajulikana kwa kanisa kama mtu wa imani. Hakika, Biblia inamtumikia kama mfano wa imani: "Kama vile Ibrahim alivyo mwamini Mungu akahesabiwa haki" (Wagalatia 3:6).

Mungu alikuwa amemtokea Abramu (kama alivyoitwa hapo) na akasema, "Usiogope, Abramu, Mimi ni ngao yako, na thawabu yako kubwa sana! "(Mwanzo 15:1). Mungu pia aliahidi Abramu kwamba angezikwa "uzee mwema" (angalia mstari wa 15). Na kuna zaidi! Zaidi ya hayo, Mungu aliahidi kwamba mtu yeyote aliyejaribu kumdhuru au kumlaani Abramu mwenyewe angelaaniwa (angalia Mwanzo 12:3).