Body

Swahili Devotionals

KAZI YA YESU

Gary Wilkerson

Andiko tunalolijua ambalo linaelezea kusudi la Yesu hapa duniani  linapatikana katika Luka 4:18-19: "Roho wa Bwana yu juu yangu, kwa maana amenitia mafuta kuwahubiri maskini habari njema. Amenituma kuwatangazia wafungwa kufunguliwa kwao, na vipofu kupata kuona tena, kuwaacha huru waliosetwa, Na kutangaza mwaka wa Bwana uliokubaliwa."

MAAMUZI SAFI

David Wilkerson (1931-2011)

"Tukiishi kwa Roho, na tuenende kwa Roho" (Wagalatia 5:25). Wengi wetu tumesikia maneno ya "kutembea katika Roho" maisha yetu yote, lakini inamaanisha nini? Ninaamini inamaanisha kuwa mzuri, mwelekeo wa wazi na maamuzi safi. Roho Mtakatifu hutoa maelekezo kamili kabisa kwa wale wanaotembea ndani yake.

UVUMILIVU WA KUPOKEA AHADI

David Wilkerson (1931-2011)

Mfano maarufu wa mkulima ni kuhusu uvumilivu. Si uvumilivu kwa watu bali uvumilivu kwa Mungu. Je! Unakumbuka Yesu akizungumza kuhusu mbegu, nzuri? zingine zilianguka kwa njia; baadhi zikaanguka juu ya mwamba; baadhi zikaanguka miongoni mwa miiba . . . na zingine zikaanguka juu ya udongo mzuri. Hebu tuangalie maelezo ya Yesu.

SHAHIDI KWA MWENYE HOFU

David Wilkerson (1931-2011)

Katika siku za nyuma, Wakristo wamefikiri juu ya ukombozi hasa kama kimwili, lakini hivi karibuni watu watajua kwamba watakombelewa kutoka kwenye hofu na mashaka. Wakati huo unakuja, ukombozi utamanisha "kuwa na neno la uhakika kutoka mbinguni." Wakati vitu vibaya vinaanza kutokea, watu watakuwa na wasiwasi wa kujua kile Mungu atakayefanya baadaye. Wao watageuka pande zote, wakipenda kusikia sauti ya mtu aliye na utulivu, amani, imara. Watasema, "Je! Hii nihukumu ya Mungu? Ni wakati gani itaisha?"

JESHI LA MUNGU LILIO IFAZIWA

David Wilkerson (1931-2011)

Kitu kikubwa sana kiko kinaendelea duniani leo. Mungu anafanya ilio ifaziwa, kazi ya utulivu, kitu ambacho si cha kawaida kwamba ni zaidi ya ufahamu wa kibinadamu. Yeye anaandaa jeshi ndogo lakini lenye nguvu ambalo litakuwa lenye kujitolea zaidi juu ya uso wa dunia. Bwana atakwenda kufunga kutoka kwa miaka na miaka mabaki yalio safi, yenye kujitoa, na wasio na hofu.

WITO WA WAZI

Gary Wilkerson

"Nilijifanya mtumwa wa wote, ili nipate watu wengi zaidi" (1 Wakorintho 9:19). Katika mstari huu tunaona kwamba Paulo anaanza kuelewa ujumbe wake katika roho za uhai - kwa ajili ya Yesu Kristo! Katika mstari wa 16 anasema, "Ole kwangu ikiwa sihubiri Injili!"

KUISHI MAISHA AMBAYO ANAHESABIWA

David Wilkerson (1931-2011)

Ikiwa unafikiri wewe ni wa kawaida sana kutumiwa na Mungu, sikilizeni kwa makini: Mungu hataki kufanya kazi yake ya siku za mwisho kwa njia ya wainjilisti wakuu au wachungaji. Wao peke yao hawataweza kushughulikia kusonga kwa Roho wake. Mungu atahitaji kila mtu mwenye umri wa miaka, kijana, mtu mzee na wote wanaopenda kufanya kazi yake yenye nguvu.

Jeshi hili la wakati wa mwisho litafanywa na Wakristo ambao wametolewa kwenye "mkate pekee." Mungu alisema kupitia Musa, "Mwanadamu haishi kwa mkate tu, bali huishi kwa kila litokalo katika kinywa cha Bwana" (Kumbukumbu la Torati 8:3).

UTOAJI MKUBWA WA MUNGU

David Wilkerson (1931-2011)

Mtu mmoja aliniambia mara moja, "Baada ya kutoa asilimia kumi ya mapato yangu kwa Mungu, mimi napendezwa na kitu chochote kinabakia. Na ninatarajia kubarikiwa na Mungu kama alivyoahidi - kwa sababu nilitoa fungo la kumi."

Uzoefu wangu umesisitiza kwamba kama mtu ananungunika kwa kutoa kwake, atakuwa pia ananungunika wakati wake, nguvu zake na kazi yake kwa Bwana. Lakini nataka kukuambia, ikiwa unadanganya na Mungu, atakudanganya na wewe. Kwa hiyo, nina maanisha kwamba uko unakata wewe mwenyewe Baraka kutoka kwa Mungu kupitia matendo yako na mtazamo wako.

HAZINA NZURI YA MOYO

David Wilkerson (1931-2011)

Maneno unayozungumza yanaonyesha yaliyo moyoni mwako! "Kinywa cha mtu huyanena yaujazayo moyo wake" (Mathayo 12:34).

Wakati wowote niliposema kitu kibaya kama mtoto, mama yangu alinyoosha kinywa changu na sabuni. Lakini sio mdomo wangu uliohitaji kusafishwa, ilikuwa ni moyo wangu. Unaona, ulimi wako huongea tu kile kilicho moyoni mwako. Yesu alisema kuwa hotuba ya uhuru, isiyo na wasiwasi, inaweza kuja tu kwa moyo mbaya na mchafu.