KUPATA TUZO

Gary Wilkerson

Katika utamaduni wa leo, Wakristo wengi wanachanganyikiwa juu ya dhana za kushinda. Lakini mara nyingi inaonekana kama hatujui jinsi ya kufafanua manayake kushinda . Wachungaji wanafikiri kwamba ili wawe na kanisa la kushinda wanapaswa kuwa na jengo kubwa, bajeti iliyoongezeka, timu ya ibada yenye ufanisi, na kuwa na huduma ya watoto bora. Wafanya biashara wanafikiri kwamba kuwa na wafanyakazi zaidi, kufurahia faida kubwa, na kufikia ufahari katika uwanja wao wakushinda pesa nyingi. Mambo haya yote ni mazuri, bila shaka, na kwa maana moja, ni kushinda.

UFUNUO WA KAZI YA YESU

David Wilkerson (1931-2011)

Mungu amewaahidi watu wake mapumuziko ya utukufu ambao anajumuisha amani kwa roho. Kwa kusikitisha, Wakristo wengi hawana wazo la maana ya kupumzika katika wokovu wao. Hawana amani ambayo Wakristo wote wanao katika Yesu Kristo, amani ambayo inaweza kuwabeba kupitia dhoruba yoyote.

NJIA YA KUEPUKIA

David Wilkerson (1931-2011)

"Tusijitumainie nafsi zetu, bali tumtumaini Mungu, awafufuaye wafu" (2 Wakorintho 1:9). Mtume Paulo aliandika maneno hayo wakati alipokuwa akijikwaza chini ya mwamba. Alikuwa akisema, kwa kweli, "Bwana alinileta kwenye mwisho wa usaidizi wote wa kibinadamu. Ilikuwa nimahali pasiokuwa na matumaini, ni Mungu pekee wa nguvu za ufufuo angeweza kuniokowa!"

KUFUAT WA NA BABA MWENYE UPENDO

David Wilkerson (1931-2011)

Baada ya Adamu na Hawa kula tunda liliokatazwa katika bustani ya Edeni, walijificha kutoka kwa Mungu walipomsikia akitembea bustani wakati wa kabaridi ka mchana (tazama Mwanzo 3:8). Na baada ya Daudi kutenda dhambi pamoja na mke wa mmoja wa mashujaa wake mkuu, na kisha alipanga kuuawa kwa mtu katika vita ili aweze kuowa mwanamke huyo, tunamwona Daudi alijinowa mwenyewe. Alikataa kwenda kwenye vita na badala yake akajificha ikulu. Alipoteza mapigano yake yote na alikuwa na hofu ya kukabiliana na Mungu na dhambi isiyotubu.

KAZI YA YESU

Gary Wilkerson

Andiko tunalolijua ambalo linaelezea kusudi la Yesu hapa duniani  linapatikana katika Luka 4:18-19: "Roho wa Bwana yu juu yangu, kwa maana amenitia mafuta kuwahubiri maskini habari njema. Amenituma kuwatangazia wafungwa kufunguliwa kwao, na vipofu kupata kuona tena, kuwaacha huru waliosetwa, Na kutangaza mwaka wa Bwana uliokubaliwa."

MAAMUZI SAFI

David Wilkerson (1931-2011)

"Tukiishi kwa Roho, na tuenende kwa Roho" (Wagalatia 5:25). Wengi wetu tumesikia maneno ya "kutembea katika Roho" maisha yetu yote, lakini inamaanisha nini? Ninaamini inamaanisha kuwa mzuri, mwelekeo wa wazi na maamuzi safi. Roho Mtakatifu hutoa maelekezo kamili kabisa kwa wale wanaotembea ndani yake.

UVUMILIVU WA KUPOKEA AHADI

David Wilkerson (1931-2011)

Mfano maarufu wa mkulima ni kuhusu uvumilivu. Si uvumilivu kwa watu bali uvumilivu kwa Mungu. Je! Unakumbuka Yesu akizungumza kuhusu mbegu, nzuri? zingine zilianguka kwa njia; baadhi zikaanguka juu ya mwamba; baadhi zikaanguka miongoni mwa miiba . . . na zingine zikaanguka juu ya udongo mzuri. Hebu tuangalie maelezo ya Yesu.

SHAHIDI KWA MWENYE HOFU

David Wilkerson (1931-2011)

Katika siku za nyuma, Wakristo wamefikiri juu ya ukombozi hasa kama kimwili, lakini hivi karibuni watu watajua kwamba watakombelewa kutoka kwenye hofu na mashaka. Wakati huo unakuja, ukombozi utamanisha "kuwa na neno la uhakika kutoka mbinguni." Wakati vitu vibaya vinaanza kutokea, watu watakuwa na wasiwasi wa kujua kile Mungu atakayefanya baadaye. Wao watageuka pande zote, wakipenda kusikia sauti ya mtu aliye na utulivu, amani, imara. Watasema, "Je! Hii nihukumu ya Mungu? Ni wakati gani itaisha?"

JESHI LA MUNGU LILIO IFAZIWA

David Wilkerson (1931-2011)

Kitu kikubwa sana kiko kinaendelea duniani leo. Mungu anafanya ilio ifaziwa, kazi ya utulivu, kitu ambacho si cha kawaida kwamba ni zaidi ya ufahamu wa kibinadamu. Yeye anaandaa jeshi ndogo lakini lenye nguvu ambalo litakuwa lenye kujitolea zaidi juu ya uso wa dunia. Bwana atakwenda kufunga kutoka kwa miaka na miaka mabaki yalio safi, yenye kujitoa, na wasio na hofu.