NENO LAKE NI TUMAINI LANGU LA KUNILINDA
Ndugu Dave Wilkerson alikuwa akisimulia moja ya hadithi nzuri sana. Ilikuwa ni kuhusu mwanamke huyu mwenye umri wa miaka 82 ambaye alikuwa akiishi peke yake katika mojawapo ya mitaa ya New York. Usiku mmoja, alisikia mtu akipiga nyundo kwenye mlango wa mbele.