Body

Swahili Devotionals

USHINDI JUU YA USHINDI

Gary Wilkerson

Wakristo wengi wanapigana na vizuizi vikubwa katika maisha yao. Inaweza kuwa upotezaji wa kazi, ndoa yenye mkazo, mpendwa amabaye ni mgonjwa, au mtoto anayepambana na imani. Lakini haijalishi mambo yanaweza kuonekana mabaya, Mungu yuko katikati ya maisha ya wale wanaompenda na wanaomwamini.

ALIONGOZA KUOMBA KWA BIDII

Jim Cymbala

Ingawa ni muhimu kuelewa kanuni zinazosimamia sala, ufahamu peke yake hautakuongoza kwenye mafanikio. Kwa kweli, kutokuwa na maombi mara nyingi kunakuwepo na ufahamu mwingi wa Bibilia. Roho Mtakatifu tu ndiye anayeweza kutuhimiza kuomba vizuri, na yeye hutumia njia mbali mbali kutimiza kusudi hili.

JE! WEWE UKO SHAHIDI KATIKA JIJI LAKO?

David Wilkerson (1931-2011)

Mara nyingi tunatarajia Mungu kutembea katika moja wapo ya njia mbili: ama kwa kumiminwa kimaajabu kwa Roho wake Mtakatifu ili kufagia umati katika ufalme wake, au kwa kutuma hukumu kuwaleta watu kwa magoti yao au hata kuwaangamiza. Lakini, wapenzi, hiyo sio njia ya Mungu ya kubadilisha mambo katika siku hizi mbaya. Njia yake ya kujenga magofu kila mara imekuwa ni kutumia wanaume na wanawake wa kawaida ambao amewagusa. Na yeye hufanya hivyo kwa kuwajaza Roho wake Mtakatifu na kuwatuma kwenye vita wakiwa na imani kubwa na nguvu! "Wote walijazwa na Roho Mtakatifu" (Matendo 2:4).

MAHALI PA KUPUMZIKIA

David Wilkerson (1931-2011)

"Kwa hiyo, ndugu watakatifu, wenye kuhiriki wa mwito wa mbinguni, mtafakarini sana Mtume na Kuhani Mkuu wa maungamo yetu, Kristo Yesu, ambaye alikuwa mwaminifu kwa yule aliyemteua, kama vile Musa naye alikuwa mwaminifu katika nyumba yote ya Mungu" (Waebrania 3:1-2).

UFUNUO WA REHEMA YA MUNGU

David Wilkerson (1931-2011)

Daudi alikubali rehema kuu ya Mungu aliposema, "Nimetangaza uaminifu wako na wokovu wako. Sikuficha fadhili zako wala ukweli wako katika mkutano mkubwa” (Zaburi 40:10).

Daudi alimshukuru Mungu kwa upendo mkubwa sana kwa sababu alikuwa akijua mapungufu yake mwenyewe. "Maovu yangu asiyohesabika yamenizidi, hata siwezi kuangalia juu" (40:12). Haijalishi watu wamefanya dhambi vibaya, upendo wa Mungu bado unawafikia. Alimtuma Mwanawe kama dhabihu kwa sababu hilo.

IMANI INAYOTEMBEYA

Gary Wilkerson

"Mtu mmoja mwenye fahali alisafiri kwenda nchi ya mbali, ili ajipatie mwenyewe ufalme halafu arudi" (Luka 19:12).

Yesu anasema mfano wa mtu wa fadhili aliyekabidhi baadhi ya watumishi wake pesa sawa ili waweze kuzishughulikia wakati yeye alikuwa safarini. Aliporudi, bwana aliuliza uhasibu kutoka kwa watumishi ili kutathmini jinsi kila mmoja amekuwa mwaminifu katika mgawo wake.

WITO KWA WATU WA KAWAIDA

Carter Conlon

Moyo wangu unaimba na wazo kwamba katika historia yote ya maandishi, wakati Mungu alikuwa anataka kufanya jambo fulani kubwa, mara nyingi alimtafuta mtu ambaye ndiye aliyeweza kuifanya iweze kutokea. Wakati alitaka kuleta nabii kwa taifa, alitafuta tumbo tasa katika mwanamke anayeitwa Hana. Wakati alitaka kuwakomboa watu wake kutoka kwa mikono ya Wamidiani, alionekana kwa Gidioni - mdogo wa nyumba ya baba yake katika kabila la Manase.

KUTAWALA KWA IMANI

David Wilkerson (1931-2011)

Katika Hesabu 13 na 14, tunapata lugha na ufafanuzi wa imani ya kweli na kutokuamini. Wapelelezi kumi ambao walikuwa wamekwenda kwenye ardhi waliporudi na ripoti ya kile walichokiona. "Tulifika katika nchi ambayo uliyotutuma, na hakika kweli ni nchi yenye maziwa na asali, na haya ndio matunda yake. Lakini watu wakaao katika nchi ni wenye nguvu nyingi; na miji ina maboma na ni makubwa sana” (Hesabu 13:27-28). Kwa hivyo ripoti hiyo upande umjoa ilikuwa nzuri na upande mwingine ilikuwa sio nzuri.

UTAFUATA UONGOZI WAKE?

David Wilkerson (1931-2011)

“Nitakufundisha na kukuonyesha njia unayopaswa kuenda; Nitakuongoza kwa jicho langu. Usiwe kama farasi au kama nyumbu, ambao hawana ufahamu, ambao lazima ifungwe kitu na ijamu, vinginevyo hawatakukaribia wewe” (Zaburi 32:8-9).