Body

Swahili Devotionals

MSUKUMO WA MUNGU KUKUOKOA

David Wilkerson (1931-2011)

Hata kama ungeishi kuwa na umri ya miaka mia tano, huwezi kuishi kwa muda mrefu wakutosha ukimpendeza Mungu kwa kubuni malifa yako mwenyewe. Pengine shetani amekushawishi kuwa umekatisha tamaa Mungu na kamwe hawezi kumpendeza. Lakini hiyo ni uongo kwa sababu umeokolewa na kusamehewa.

JE! UNAISHI UKRISTO WA CHINI?

Gary Wilkerson

Francis Chan, mwandishi maarufu wa Upendo wenye wenye Kicha (Crazy Love) na vitabu vingi zaidi, alihisi kuitwa na Mungu kuondoka kwenye kanisa lake kubwa alikuwa anapenda sana katika mji wa kupendeza, wenye thamani, miji wa California. Akaacha usalama wa kifedha na faraja, alikusanya kikundi kidogo cha waamini pamoja wenye moyo wa San Francisco na kuanza kufanya huduma za mitaani. Kwa kuwa anajulikana sana na kutambuliwa katika miduara ya Kikristo, angeweza kuweka mabango machache, kupitisha vipeperushi, na kuanza kanisa na watu elfu wachache wenye juhudi kidogo.

ULIMWENGU UKO UNAANGALIA

Nicky Cruz

Paulo aliwaambia Wakolosai, "Basi, kwa kuwa mmekuwa wateule Mungu, watakatifu wapendwao, jivikeni moyo wa rehema, utu wema, unyenyekevu, upole, uvumilivu. Mkichukuliana na kusameheana, mtu akiwa na sababu ya kumlaumu mwenzake; kama Bwana alivyowasamehe ninyi, vivyo na ninyi. Zaidi ya hayo yotejivikeni upendo, ndio kifungo cha ukamilifu" (Wakolosai 3:12-14).

CHIKA MKONO WA YESU NA UFUATE

David Wilkerson (1931-2011)

Unapopiga makoti msalabani, huwezi kusikia neno rahisi, laini - sio mala ya kwanza. Ingawa msalaba ni mlango pekee wa uzima, unaenda kusikia kifo-kifo kwa kila dhambi.

Katika msalaba, unakabiliwa na mgogoro wa maisha yako na hiyo ndiyo ambayo haipo katika makanisa mengi leo. Mahubiri ya msalaba huleta mgogoro wa dhambi, ya mapenzi ya kibinafsi. Atazungumza kuhusu wewe na maneno yenye upendo lakini imara kuhusu matokeo ya kuendelea katika dhambi yako: "Jikatae. Kumbatia kifo cha msalaba. Nifuate!"

IMARA KATIKA USHINDI WA MUNGU

David Wilkerson (1931-2011)

"Mkaribieni Mungu naye atawakaribia ninyi.Itakaseni mikono yenu, enyi mwenye zambi, na kuisafisha mioyo yenu, enyi wenye nia mbili" (Yakobo 4:8).

Hii ni ahadi kubwa ya ushindi juu ya dhambi zote. Huwezi kuzalisha ushindi huu mwenyewe. Huwezi kusafisha mikono yako mwenyewe au kusafisha moyo wako mwenyewe. Yakobo anasema, "Ikiwa unataka mikono safi na moyo safi - ikiwa unataka ushindi juu ya hatia, majaribu na kila mtu anayetaka mabaya anakuja dhidi yako - lazima ukaribie Mungu na uamini kwamba yuko karibu yako.

MUNGU ATAKUHIFADHI KUTOKA KWA ADUI

David Wilkerson (1931-2011)

"Wale wanaofuata njia ya uovu; wao ni mbali na sheria yako. Wewe u karibu, Ee Bwana, na amri zako zote ni kweli" (Zaburi 119:150-151, AMP).

Kuna ukweli wa utukufu katika kifungu hiki ambacho kinaweza kubadilisha maisha yako, kukuletea amani na kukupa kupumzika zaidi ya yoyote uliopitia. Unaona, mara tu unapoelewa ukweli usio badilika wa Mungu unakusogelea karibu yako - kwamba anakupenda na anaendelea kuwa karibu na wewe-hofu na wasiwasi lazima viende!

MUNGU ALIKUITA KWA JINA

David Wilkerson (1931-2011)

"[Bwana] akanitoa akanipeleka panapo nafasi; Aliniponya kwa kuwa alipendezwa nami" (Zaburi 18:19).

Maneno mazuri, yenye kuhimiza. Baba hufurahia kwetu! Katika kesi ya Daudi, alikuwa amepita wakati wa kutisha. Sauli alikuwa ameweka fadhila juu ya kichwa chake na Daudi alikuwa akikimbia kwa ajili ya maisha yake. Lakini Mungu alikuja kwa ujasili ili kumwokoa naye na Daudi angeweza kusema, "Sababu Mungu aliniokoa kutoka kwa adui zangu wote ni kwa sababu mimi ni wa thamani kwake. Mungu wangu anifurahia mimi!"

WAKATI UPEPO UNAPO PINGANA NA SISI

Gary Wilkerson

Mtume Paulo alikuwa na kusudi la uhakika, maono, ujumbe - utume wa Mungu. Uzoefu wake wakipeke ulimfanya awe daima kwenda mbele. Alijua kwamba angeweza kukabiliana na shida nyingi, lakini alifundisha kwamba unaweza kuvumilia mateso mengi wakati moyo wako umewekwa kwenye malengo. Ikiwa moyo wako umewekwa kwenye faraja, hakuna mateso unaweza kuvumilia kamwe.

BABA MWENYE UPENDO ZAIDI

Jim Cymbala

Martin Luther, kuhani wa karne ya kumi na sita ambaye alianzisha Mapinduzi ya Kiprotestanti, alikuwa na hofu ya kwanza kwa Mungu, kwa sababu aliamini kwamba Bwana alikuwa hakimu mtakatifu lakini mwenye hasira - ambayo ndiyo ilikuwa wakati wakisheria za siku yake ilimfundisha kuamini. Haijalishi jinsi Martin alivyojaribu kumpendeza Mungu huyu mtakatifu, alishindwa, alihisi kuwa anahukumiwa na Mungu, na akahisi hatia ya dhambi yake.